Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT),kimepanga kumtunuku Rais wa
Marekani, Barack Obama Shahada ya Heshima ya Uzamivu kwa kutambua
mchango wake kwa jamii husasani kwenye maendeleo ya kukuza uchumi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana,Makamu
Mkuu wa chuo hicho,Profesa Tolly Mbwete alisema tuzo hiyo imethibitishwa
na Baraza Kuu la Chuo hicho baadaye
↧