KATIKA hali ya kushangaza, msanii wa filamu na muziki Baby Joseph
Madaha amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuibiwa nguo zake za ndani
alizokuwa ameanika nje maeneo ya Mikocheni jijini Dar.
Chanzo cha habari ambacho ni shosti wa karibu wa mwanadada huyo kilichoomba hifadhi ya jina lake kilitiririka:
“Alizifua
kama dazeni nzima hivi na kuzianika nje kisha kwenda kwenye mishe zake
↧