Jambo hili
huwaacha wanawake wakiwa wamechanganyikiwa na kujiuliza maswali chungu
mzima kama kuna mahali wamekosea au hawajawavutia wapenzi wao, pale
wenzi wao wanapogeukia upande wa pili na kushikwa na usingizi punde tu
baada ya kumaliza tendo la kujamiiana.
Lakini utafiti uliofanywa hivi na wanasayansi unawapa wanaume ahuweni
katika kuepuka lawama hizo, kwamba, kumbe siyo hiyari yao,
↧