Wakati magari 150 ya msafara wa ziara ya Rais Barack Obama
yamewasili nchini, majina ya mawaziri wa Tanzania yatakayoruhusiwa
kumpokea kiongozi huyo kuchujwa na makachero wa FBI.
Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius
Nyerere, Moses Malaki aliliambia gazeti hili jana kuwa matayarisho ya
ujio wa Rais huyo ni kabambe na hayajawahi kutokea katika
↧