Serikali imesisitiza kuwa haitavumilia kuona baadhi ya watu wanaendelea
kupanda mbegu za chuki za kidini na kisiasa miongoni mwa Watanzania na
imesisitiza kuchukua hatua bila huruma kuzimaliza njama hizo.Kauli hiyo ilitolewa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda jana, wakati akiahirisha Mkutano wa 11 wa Bunge hadi Agosti 27, mwaka huu.“Nataka
niwahakikishie Watanzania kuwa serikali haitavumilia hata
↧