MAMA AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUJIFUNGUA MAPACHA WALIOUNGANA NA WANATUMIA NJIA...
MWANAMKE mmoja mkazi wa Kijiji cha Kasumuru, Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, Grace Joel Lwesha (19), amelia baada ya kujifungua watoto walioungana. Akizungumza na waandishi wetu katika Hospitali ya Taifa...
View ArticleHILI NDO JENERATA LINALOTUMIA MKOJO BADALA YA MAFUTA....LILIGUNDULIWA MWAKA...
WASICHANA wanne kutoka Nigeria wamegundua jinsi ambayo mkojo unaweza kutumika kama mafuta ya kusukuma jenereta. Wasichana hao, Duro-Aina Adebola,Akindele Abiola, Faleke Oluwatoyin na Bello Eniola,...
View ArticleRAIS KAGAME AMVAA MTIKILA....ADAI NI MCHOCHEZI NA ASIYEVUMILIKA
Baada ya Mtikila kutoa waraka unaodai kuwa Rais Kagame amepenyeza wanyarwanda 35,000 ndani ya Tanzania,Kagame amefunguka na kudai kuwa Mtikila ni mchochezi... Hii ni kauli ya Kagame wa...
View ArticleSAKATA LA WAVULANA WALIOOTA MATITI NA JINSI JAMII ILIVYOWATENGA
VIJANA watatu wa familia moja ya Felipe Ramirez, wamepata balaa kubwa baada ya kuota matiti yaliyosababisha kuchekwa na vijana wenzao waliokuwa wakiwaona kuwa ni mashoga. Vijana hao kutoka katika...
View ArticleSUGU AKAMATWA KWA KUMTUSI WAZIRI MKUU
Habari zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa Mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi amekamatwa kwa kile kinachodaiwa ni uchochezi na kumkashifu Waziri Mkuu Mzengo Pinda. Hivi karibuni, Mh. Sugu...
View ArticleMH. SUGU AMEACHIWA KWA DHAMANA BAADA YA KUKAMATWA NA POLISI
MBUNGE wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (SUGU) amekamatwa na Jeshi la Polisi Mjini Dodoma na kuachiwa kwa dhamana. Mwandishi wetu akiwa Mjini Dodoma anasema kwamba Mbunge huyo alikamatwa muda mfupi baada...
View Article"TUTAIFUTA CHADEMA ENDAPO ITABAINIKA KUWA WALIRUSHA BOMU LA ARUSHA...
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini John Tendwa, amedai kuwa ikibainika kuwa CHADEMA ndio waliohusika katika kulipua bomu katika mkutano wao wa 15/06/2013 atakifuta. Tendwa ameyasema hayo alipokuwa...
View ArticleSERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU...YADAI POLISI WANARUHUSIWA...
Serikali imetoa tamko bungeni kuhusu mauaji ya raia mikononi mwa polisi ikieleza kuwa sheria ya kanuni ya adhabu inaruhusu kutumia nguvu za kadiri hata kiasi cha kusababisha madhara au kifo. Kauli hiyo...
View ArticleULINZI WA RAIS OBAMA JIJINI DAR NI BALAA....MITAMBO MBALIMBALI YA MAWASILIANO...
Maandalizi ya ujio wa Rais wa Marekani, Barack Obama nchini yanazidi kupamba moto huku maofisa wa usalama wa Marekani wakipiga kambi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es...
View ArticleUCHAGUZI WA ARUSHA WAAHIRISHWA TENA ILI KUIMARISHA HALI YA AMANI NA UTULIVU
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeahirisha tena uchaguzi wa madiwani kata nne za Arusha hadi Julai 14 kuruhusu kurejea utulivu baada ya mlipuko wa bomu kwenye mkutano wa kampeni wa Chadema ulioathiri...
View ArticleOMMY DIMPOZ APATA SHAVU LA KUFANYA TOUR MAREKANI NA CANADA
Omary Fereji Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz, amesaini mkataba na kampuni ya DMK Global Promotion leo hii kwa ajili ya tour atakayoifanya Canada na Marekani mwezi wa tisa mwaka huu baada ya kumaliza tour...
View ArticleVIDEO YA MSHIRIKI WA TANZANIA ( FEZA KESSY) AKIBADILISHANA MATE NA ONEAL WA...
Huyu ni mshiriki wa Tanzania ( Feza ) akibadilishana mate na mshiri wa Botswana ( Oneal ) ndani ya jumba la big brother... VIDEO: <!-- adsense -->
View ArticleDIAMOND PLATNUMS KUPERFORM JUKWAA MOJA NA WAKALI WA NIGERIA NCHINI KENYA...
Ni ukweli ulio wazi kuwa star wa ‘Kesho’ Diamond Platnumz ‘anaweza’ kuwa msanii wa Tanzania anayefanya show nyingi zaidi kwa sasa na za gharama kubwa, baada ya kuwachanganya mashabiki wa Comoro na crew...
View ArticleFILAMU MPYA YA AUNT EZEKIEL YAZUILIWA BAADA YA KUWA NA VIPANDE VYENYE...
SERIKALI kupitia bodi ya filamu nchini imemkalia kooni mwigizaji, Aunt Ezekiel na kumtaka aondoe baadhi ya vipande vya sinema yake mpya iitwayo Scola vinginevyo haitaruhusiwa kuingia mtaani. Taarifa...
View ArticleSHILOLE AMTIMUA MDOGO WAKE BAADA YA KUJAZWA MIMBA AKIWA MIKONONI MWAKE
STAA wa sinema za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ (pichani) amemtimua mdogo wake aliyekuwa akiishi naye aitwaye Mary baada ya kunasa ujauzito. Chanzo makini kilicho karibu na staa huyo kimepenyeza...
View Article"TUNAMTAKA WAZIRI MKUU PINDA AOMBE RADHI WATANZANIA, AKIKATAA BASI...
Akizungumza na waandishi wa habari jana Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba amesema kitendo cha Waziri Mkuu Bizengo Pinda kuruhusu matumizi ya...
View ArticleWATANZANIA WAISHIO MIKOANI WAPIGWA MARUFUKU KWENDA DAR WAKATI WA ZIARA YA...
Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amewashauri watu walioko mikoani kusitisha safari za kuja Dar es Salaam wakati wa ziara ya Rais wa Marekani, Barrack Obama kutokana na wingi wa wageni katika jiji...
View ArticleMAITI AFUFULIWA HUKO MKURANGA PWANI.... MILIONI 15 ZAHITAJIKA KWA MGANGA WA...
BINTI aitwaye Nuru Omari anayedaiwa kufariki dunia mwaka 2010 ameibuliwa hivi karibuni wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani na mganga akiwa hai kwenye banda kuukuu. Binti Nuru Omari aliyeibuliwa. Tukio...
View ArticleNAY WA MITEGO NA DIAMOND KUJA NA NGOMA MPYA..."SALAMU ZAO"
Baada ya kutamba na Muziki Gani, Diamond na Nay Wa Mitego wako mbioni kuachia ngoma nyingine hivi karibuni baada ya kupembua ipi ianze kati ya ‘Salamu Zao na Kwa Masela’. Nay ameiambia mpekuzi kuwa...
View ArticleAFYA YA NELSON MANDELA BADO TETE
Taarifa kutoka Ikulu ya Afrika Kusini zinasema kuwa hali ya kiafya ya rais mstaafu Nelson Mandela sio nzuri na kuwa imezorota katika saa 48 zilizopita. Baada ya kumtembelea hospitalini, mwanawe mkubwa...
View Article