Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

MH. SUGU AMEACHIWA KWA DHAMANA BAADA YA KUKAMATWA NA POLISI

$
0
0
MBUNGE wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (SUGU) amekamatwa na Jeshi la Polisi Mjini Dodoma na kuachiwa kwa dhamana. Mwandishi wetu akiwa Mjini Dodoma anasema kwamba Mbunge huyo alikamatwa muda mfupi baada ya kutoka katika vikao vya Bunge. Sugu alikamatwa na kupelekwa katika Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma na baada ya kuhojiwa aliachiwa kwa dhamana na kutakiwa kuripoti kituoni hapo kesho

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles