Habari zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa
Mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi amekamatwa kwa kile
kinachodaiwa ni uchochezi na kumkashifu Waziri Mkuu Mzengo Pinda.
Hivi karibuni, Mh. Sugu alidai kuwa Tanzania haijawahi kuwa na waziri mkuu mpumbavu kama Mizengo pinda.
Tunaendelea kufuatilia undani wa habari hii:
Post yake facebook:
<!-- adsense -->
↧