Omary Fereji Nyembo a.k.a Ommy
Dimpoz, amesaini mkataba na kampuni ya DMK Global Promotion leo hii kwa
ajili ya tour atakayoifanya Canada na Marekani mwezi wa tisa mwaka huu
baada ya kumaliza tour nyingine barani ulaya.
"Yaah nimesaini mkataba na nitaondoka
kwenda kwenye tour hiyo mwanzoni mwa mwezi wa tisa, imekuwa hivyo
kwasababu tunasubiri mwezi mtukufu upite si unajua tena, kampuni
↧