TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeahirisha tena uchaguzi wa madiwani
kata nne za Arusha hadi Julai 14 kuruhusu kurejea utulivu baada ya
mlipuko wa bomu kwenye mkutano wa kampeni wa Chadema ulioathiri uchaguzi
huo wiki iliyopita.
Bomu hilo lilirushwa Juni 15 na mtu asiyejulikana katikati ya mkutano
wa Chadema katika viwanja vya Soweto, mjini Arusha na kusababisha vifo
vya watu
↧