BINTI aitwaye Nuru Omari anayedaiwa kufariki dunia mwaka 2010
ameibuliwa hivi karibuni wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani na mganga
akiwa hai kwenye banda kuukuu.
Binti Nuru Omari aliyeibuliwa.
Tukio hilo limetokea kwenye Kijiji cha Kalole, Tarafa ya Kisiju, walayani humo.
Kwa mujibu wa baba wa binti huyo, Omari Salum, mwaka 2010 ndugu wa
mkewe aitwaye Nyasenene aliyekuwa akiishi
↧