Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amewashauri watu walioko
mikoani kusitisha safari za kuja Dar es Salaam wakati wa ziara ya Rais
wa Marekani, Barrack Obama kutokana na wingi wa wageni katika jiji
hilo.
Ugeni huo pamoja na ule wa viongozi kumi na moja kutoka
nchi mbalimbali duniani watakaohudhuria mkutano wa kimataifa wa Smart
Partnership utakaofunguliwa kesho na Rais Jakaya
↧