Taarifa kutoka Ikulu ya Afrika Kusini zinasema kuwa hali ya kiafya ya
rais mstaafu Nelson Mandela sio nzuri na kuwa imezorota katika saa 48
zilizopita.
Baada ya kumtembelea hospitalini, mwanawe mkubwa wa kike Makaziwa,
alisema hali inaonekana kuwa mbaya lakini akaongeza kuwa Mandela anaweza
kuwasikia jamaa zake wanapomuita huku akijaribu kufungua macho yake.
Makaziwe amesema “
↧