Serikali imetoa tamko bungeni kuhusu mauaji ya raia mikononi mwa
polisi ikieleza kuwa sheria ya kanuni ya adhabu inaruhusu kutumia nguvu
za kadiri hata kiasi cha kusababisha madhara au kifo.
Kauli hiyo imekuja siku chache baada ya Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda kunukuliwa bungeni akiwataka polisi kuwashughulikia
kwa kuwapiga watu wote wanaokaidi kutii sheria.
↧
SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU...YADAI POLISI WANARUHUSIWA KUPIGA NA KUUA KISHERA
↧