WASICHANA
wanne kutoka Nigeria wamegundua jinsi ambayo mkojo unaweza kutumika
kama mafuta ya kusukuma jenereta.
Wasichana hao, Duro-Aina
Adebola,Akindele Abiola, Faleke Oluwatoyin na Bello Eniola, wote wenye
umri wa miaka 14 walifanya maonyesho ya jenereta hilo na lilionekana kufanya kazi mwishoni mwa mwaka jana
Genereta
hilo linaweza kufanya kazi kwa muda wa saa
↧