MWANAMKE mmoja mkazi wa Kijiji cha Kasumuru, Wilaya ya Kyela mkoani
Mbeya, Grace Joel Lwesha (19), amelia baada ya kujifungua watoto
walioungana.
Akizungumza na waandishi wetu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili,
Jengo la Watoto, Grace alilia kutokana na kile alichodai kujifungua
watoto walioungana wakati yeye ni maskini.
Watoto hao mapacha wa kiume, Eliudi na Elikana
↧