Nyota wa tasnia ya filamu , Jaqueline Wolper ‘Wolper Gambe’ amedai kuwa hawapendi sana wanaume wenye
fedha kwani wengi wao ni waume za watu...
Wolper anadai kuwa nao si rahisi
kuonyeshwa mapenzi yao ya dhati kwani mapenzi yao ni ya chumbani tu...
" Unajua
unapokuwa na mtu mwenye fedha zake , alafu mtu mzima, ni lazmia ukose penzi la
kweli kwani mapenzi yenu ni chumbani tu,
↧