Wapenzi wameanguka na kufa baada ya dirisha walipokuwa wakifanyia mapenzi kufunguka ghafla nchini China.
Wawili hao
wanasemekana kudondoka kutoka kwenye dirisha la jengo moja la makazi
kwenye jiji la Wuhan nchini humo pale dirisha hilo walilokuwa wameegemea
kufunguka.
Mashuhuda walivieleza vyombo vya habari vya China kwamba
wapenzi hao walikumbatiana wakati wakianguka kwenye njia ya
↧