Janeth Nicholaus (25)mkazi wa Rwanzari Manispaa ya Tabora akionesha mkono wake
wa kulia ukiwa tayari umeanza kuoza baada ya kupata ajali ya baiskeli
maarufu daladala wakati akitokea nyumbani kwenda Soko kuu la Tabora
mjini ajali ambayo ilitokea kwenye makutano ya barabara ya NBC.
Huu
ndio mkono wenyewe unavyoendelea kuharibika baada ya kupita hospitali
kadhaa hapa Tabora mjini na
↧