"SIWEZI KUMWACHA PREZZO HATA AWE MALAYA KIASI GANI....MUNGU ALIMZAA KWA AJILI...
DIVA AKIWA NA MKE MWENZA... Jana Diva wa Clouds fm amevunja ukimya na kufunguka tena kuhusu penzi lake kwa Mkenya a.k.a Prezzo... Diva ndani ya pozi la nusu uchi... HII NI KAULI...
View ArticleBALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA ADAI KUWA UJIO WA RAIS OBAMA SI KWA AJILI...
Akiongea na waandishi wa habari jana, Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhard amesema ziara ya mwezi ujao ya Rais wa Taifa la Marekani, Barack Obama nchini Tanzania haina ajenda ya siri:...
View ArticlePOLISI WA KITUO CHA MAGOMENI ATIMULIWA KAZI BAADA YA KUPIGA PICHA ZA NUSU UCHI
POLISI wa kike wa Kituo cha Magomeni, jijini Dar es Salaam aliyejulikana kwa jina moja la Anisa, ametimuliwa kazi kwa madai ya kupiga picha ya utupu iliyosambaa mitandaoni. Chanzo makini ndani ya...
View Article"SIKUHUDHU"RIA MAZISHI YA NGWEA KWA SABABU BABA YANGU ALIKUWA NI MGONJWA"......
Mwanamuziki aliyewahi kuvunja rekodi ya mwaka 2010 kwa kunyakua tuzo tano kwa mfululizo Abasi Kizasa" 20 pacent" ameibuka na kutoa sababu za msingi za kushindwa kwenda kushiriki kwenye mazishi ya...
View ArticleLWAKATARE AMEACHIWA KWA DHAMANA YA MILIONI 10
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Muganyizi Lwakatare ameachiwa kwa dhamana ya shilingi milioni 10 leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
View ArticleKUNDI LA MATAPELI WANAODAI KUTOA MIKOPO BILA RIBA WAVAMIA ACCOUNT ZA DIAMOND...
Kundi la matapeli wanaojiita Saving Foundation leo wameihack akaunti za Facebook na Twitter za Diamond na kuandika ujumbe unaoonekana kama umeandikwa na Diamond. Amepigiwa simu Diamond ambaye...
View ArticleMSHINDI WA REDD'S MISS NYAMAGANA 2013 AVULIWA TAJI HILO BAADA YA KUBAINIKA...
Aliyekuwa mshindi katika shindano la kumtafuta mrembo wa wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza, Redd’s Miss Nyamagana 2013 Diana Amimo amevuliwa taji hilo baada ya kubainika kudanganya umri wake pamoja na...
View Article"NIKIFA ASHA BARAKA ASIJE KWENYE MSIBA WANGU, NA KAMA ATAKUFA YEYE BASI...
MKURUGENZI wa Extra Bongo Ally Chocky ametoa kauli nzito kuhusu waajiri wake wa zamani, Asha Baraka na Baraka Msilwa.Katika maongezi yake Chocky alisema katika watu asiowapenda duniani ni Asha Baraka...
View ArticleMWANAMKE AFUNGWA MIAKA 3 KWA KOSA LA KUMNG'ATA MUMEWE SEHEMU ZA SIRI HUKO...
MAHAKAMA ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida umemhukumu mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Kisana wilayani humo, Sayuni Ramadhani (42) kwenda jela miaka mitatu baada ya kukiri kosa la kumng’ata mumewe...
View ArticleIGP SAID MWEMA AKUTANA NA VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI KUPANGA MBINU ZA...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini , IGP Said Mwema akizungumza katika kikao cha Mashauriano kati ya Jeshi la Polisi na viongozi wa makanisa ya kikatoliki.kikao hicho pia kilihudhuriwa na Askofu Mkuu wa...
View ArticleDHARAU ZA PAUL KAGAME KWA USHAURI WA RAIS KIKWETE .....
DHARAU za Rais wa Rwanda Paul Kagame kwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jakaya Mrisho Kikwete zimewagawa Watanzania na kuwafanya wawe...
View ArticleAJALI MBAYA KATI YA MWENDESHA BODABODA NA LORI.....DEREVA WA BODABODA...
Ajali imetoke Mtaa wa chuma road karibu na bodi ya nafaka.. Wenye pikipiki walikua wanatoka Veta kunyoosha mbozi road na mwenye gari anatokea kwa sokota, mwenye gari akapinda kona ya Simba Plastiki...
View ArticlePICHA ZA MAZISHI YA MSANII WA BONGO MOVIE ( KASHI ) ALIYEFARIKI JANA
Msanii Kashi katika enzi za uhai wake Pichani juu ni mazishi ya msanii ya mwigizaji Jaji Khamis 'Kashi' aliyefariki jana mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar...
View ArticleHII NDO VIDEO YA MCHUNGAJI ALIYENASWA AKIMTOMASA MUUMINI WAKE....
KATIKA hali ya kushangaza , mchungaji mmoja huko nchini Nigeria amejikuta akiaibika baada ya video yake aliyokuwa akimtomasa mwanamke wakati wa maombi kuvuja na kusambaa kitika mitandao mbali...
View ArticleCCM YAPINGA UWEPO WA SERIKALI TATU....
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepinga muundo wa Muungano wa Serikali tatu unaopendekezwa katika rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba mwanzoni mwa wiki iliyopita. Chama hicho...
View ArticlePICHA ZA WAKENYA WALIVYOANDAMANA JUNE 11 NA KINYAGO CHA NGURUWE NA DAMU...
Miungano ya kijamii ikiongozwa na Bunge la mwananchi,Muhuri na pawa 254 miongoni mwa mengine yameandaa maandamano ya pili kupinga juhudi za wabunge kuhujumu tume ya kuratibu mishahara nchini kenya SRC...
View ArticleWAFANYAKAZI WA SUPERMARKET HUKO MOSHI WAANDAMANA KUPINGA RUSHWA YA NGONO...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama WAFANYAKAZI wa Supermarket ya Nakumatt, iliyopo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, wameulalamikia uongozi wa duka hilo kwa madai ya kuwanyanyasa na kuwaomba...
View ArticleUKUMBUSHO: TAREHE KAMA YA LEO, RAIS NELSON MANDELA ALIFUNGWA MIAKA 27 JELA
Siku kama ya leo (June 12) mwaka 1964 viongozi wapatao 8 wa chama cha ANC akiwemo rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela walihukumiwa kwenda jela, ambako mzee Mandela alitumikia kifungo kwa...
View ArticleFAMILIA YA NGWEA YAMKATAA MTOTO WAKE ALIYELETWA NA MAMA YAKE MAKABURINI
Siku chache baada ya aliyekuwa mkali wa Hip Hop Bongo, Albert Kenneth Mangweha ‘Ngwea’ kupumzishwa kaburini kufuatia kifo cha usingizini nchini Afrika Kusini kilichotokea Mei 28, mwaka huu, mambo kibao...
View ArticleMKE AMTWANGA MUMEWE BAADA YA KUMKUTA AKITAZAMA RUNINGA KABLA YA KUMALIZA KAZI...
MWANAMUME mmoja katika mtaa wa Mwanzo, Eldoret anauguza majeraha baada ya kupigwa na mkewe kufuatia mzozo uliotokana na yeye kupatikana akitazama runinga kabla ya kumaliza kazi ya nyumbani.Kwa mujibu...
View Article