MUUAJI WA DADA ALIYECHINJWA KAMA KUKU MIKOCHENI B AMEPATIKANA
MFANYAKAZI wa Jaji Kileo, Philemon Laiza (27) anadaiwa kumchinja mtumishi wa ndani wa jaji huyo, ambaye ni raia wa Kenya, Perpetua Mainab (30). Mtuhumiwa huyo, ambaye alikuwa ni mtunza bustani katika...
View ArticleJIPATIE NAKALA YAKO YA RASIMU YA KATIBA MPYA HAPA ......
<!-- adsense --> Hii ni Rasimu ya Katiba mpya kwa watanzania wenzetu ambao bado hawajapata muda wa kuisoma kwa makini Bofya hapo chini... Rasimu.pdf (387.8 KB)
View ArticleMWANA FA AFUNGUKA KUHUSU BIFU LAKE NA LADY JAYDEE
Baada ya kutibuana na Lady Jaydee, Mwana FA ameamua kuvunja ukimya na kuwataka mashabiki wachukulie poa maana ni hali ya kawaida tu katika maisha ya kibinadamu..... Ugomvi wa...
View ArticleBAADA YA VIFO VINGI, WASANII WAHAMASISHANA KUMRUDIA MUNGU
KUTOKANA na vifo vya mara kwa mara vya wasanii, staa wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibuka na kusema ni wakati wa wasanii kumrudia Mungu. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni,...
View ArticlePICHA ZA MAMA ALIYEKAA JUU YA PAA KWA SIKU TANO KUZUIA NYUMBA YAKE KUUZWA NA...
Huyu mama alikaa juu ya paa kwa siku tano tangu jumamosi kupinga nyumba yao kuchukuliwa na bank.Anasema mumewe alimdhamini mtu ambaye alichukua mkopo bank miaka mingi iliyopita na kushindwa kulipa...
View ArticleLADY JAYDEE NA MWANAFA KESHO HAPATOSHI....SUGU AMPA SHAVU LADY JAYDEE NA...
Ile the Big Square 1, show za magwiji wa muziki Tanzania mwana FA ‘The Finest’ na Lady Jay Dee ‘Miaka 13 ya Lady Jay Dee’ zitapigwa kesho June 14, huku presha ikiwa inaongezeka hasa kwa fans...
View ArticleGARI AINA YA TOYOTA GLANZA TURBO INAUZWA KWA SH. MILIONI TANO ..
Toyota Glanza Spot (Turbo Charger) Inauzwa kwa sh.milioni tano tu .Gari ipo ipo Dar es Salaam .Piga Simu 0714604974 or 0684885441 kwa mawasiliano zaidi kuhusu hii Gari... Upande wa Nyuma <!--...
View ArticleBREAKING NEWS: MSANII LANGA AFARIKI DUNIA
Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii Langa amefariki dunia.. Habari zinadai kuwa , Msanii huyu alikumbwa na Malaria kali sana hali...
View ArticleHOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA DKT. WILLIAM AUGUSTAO MGIMWA (MB)...
<!-- adsense --> HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA MHESHIMIWA DKT. WILLIAM AUGUSTAO MGIMWA (MB) AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NAMATUMIZI KWA MWAKA 2013/2014...
View ArticlePOST ZA MWISHO ZA FACEBOOK NA TWITTER NA VIDEO YA MWISHO YA MAREHEMU LANGA KILEO
<!-- adsense --> Ikiwa ni siku chache baada ya kuondokewa na mpendwa wetu Albert Mangwea, tasinia ya Muziki wa kizazi kipya imepata pigo jingine kubwa kwa kuondokewa na msanii wa Hip Hop...
View ArticleHUU NI UJUMBE ALIOTUMA MTANZANIA MWENZETU AMBAYE AMEFUNGWA ANGOLA BAADA YA...
Baadhi ya ndugu na marafiki wa Mtanzania aliehukumiwa kifungo cha miaka nane nchini Angola baada ya kupatikana na dawa za kulevya alizokua akizisafirisha kwenda Afrika Kusini, wamepaza sauti kuomba...
View ArticleKILICHOSEMWA NA HOSPITALI YA MUHIMBILI KUHUSU KIFO CHA MSANII LANGA
Aminiel Aligaesha ambae ni Afisa Uhusiano wa hospitali ya Taifa Muhimbili amethibitisha kwamba msanii Langa amefariki dunia June 13 2013 saa kumi na moja jioni baada ya kufikishwa hospitalini hapo toka...
View Article"NAFIKIRIA KUAHIRISHA SHOW YANGU ILA SI KWA KUMUOGOPA MWANAMKE"...MWANA FA
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Mwana FA anafikiria kuahirisha shoo yake ya kesho kufuatia kifo cha msanii mwenzake wa kizazi kipya Langa Kileo, kilichotokea leo jijini Dar es Salaam....
View ArticleMAJINA NA KAMBI ZA JESHI WALIKOPANGIWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA...
TANGAZO MKUU WA JKT MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAWAITA VIJANA 10,849 WALIOHITIMU KIDATO CHA SITA MWAKA 2013 KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA KAMA IFUATAVYO:-1. VIJANA WOTE WALIOHITIMU KIDATO CHA...
View ArticleMTANDAO MPYA WA KIJAMII ( MAYOCOO) WAZINDULIWA
Mwanafunzi wa Chuo kikuuu cha Dodoma, ndugu Justice Donatus amefanikiwa kutengeneza mtandao wake wa kijamii uitwao MAYOCOO ambao utasaidia kuiunganisha jamii ya kitanzania na...
View ArticleKINANA AMBURUZA KORTINI MBUNGE MSIGWA BAADA YA KUMWUITA JANGILI
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdul-rahman Kinana amemfungulia kesi Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa (Chadema), kutokana na kumtuhumu anajihusisha na ujangili na biashara haramu ya pembe...
View Article"TUMEFUKUZWA KAZI BAADA YA KUYAKAMATA MAGARI YA VIGOGO SERIKALINI AKIWEMO...
ASKARI 15 wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam waliofukuzwa kazi hivi karibuni kwa kosa la kupokea rushwa ili kupitisha mizigo bandarini kwa njia za magendo wameibuka na kutoa siri ya...
View ArticleBAJETI YA SERIKALI YAPANDISHA BEI YA BIA NA SIGARA
Serikali imeendelea kuongeza kodi kwenye magari makuukuu, bia, vinywaji vikali, na baridi kama ambavyo kodi imekuwa ikifanya kila mwaka na kuwaathiri watumiaji. Kutokana na hali hiyo wanywaji pombe na...
View ArticleKICHANGA CHAOKOTWA KIKIWA KIMEKUFA HUKO MAGOMENI
Mwili wa mtoto ukiwa umetupwa Wakazi wakishuudia mototo mchanga akiwa ametupwa na kufariki dunia katika eneo hilo na mtu asiyefaamika. Askari polisi wa kituo cha magomeni usalama wakiwa katika...
View ArticleRATIBA YA MAZISHI YA MSANII LANGA KILEO ALIYEFARIKI JANA
Ratiba ya mazishi ya ndugu yetu Langa Kileo itakuwa kama ifuatavyo, msiba upo nyumbani kwa wazazi wa Langa maeneo ya Mikocheni nyuma ya Hospitali ya AAR zamani kulikuwa na ofisi za Benchmark...
View Article