Baadhi ya ndugu na marafiki wa Mtanzania aliehukumiwa kifungo cha miaka
nane nchini Angola baada ya kupatikana na dawa za kulevya alizokua
akizisafirisha kwenda Afrika Kusini, wamepaza sauti kuomba msaada wa
Serikali ili ndugu yao aje kufungiwa gerezani Tanzania.Khaleed
Bin Abad amesema huyu Mtanzania aliondoka South Afrika na kwenda kufata
dawa za kulevya Brazil na akafanikiwa kuchukua
↧