"WASANII TUTAZIDI KUPUKUTIKA MAANA TUNAROGANA SANA..NATAMANI KUACHA MUZIKI...
MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, suala la wasanii wa muziki kurogana linamuumiza kichwa kiasi cha kufikiria kuachana na kazi hiyo. Akiongea na mwandishi wetu...
View ArticleOMMY DIMPOZ AMTANDIKA TUSI MAREHEMU NGWEA....ANADAI KUWA HAWEZI KUFA MASIKINI...
KWELI asiye na adabu hakosi sababu ya kuharibu, mwenye mdomo mchafu ni ada yake kutoa neno chafu, mwanamuziki chipukizi, Omar Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amedhihirisha kuwa ana kiwango cha juu sana...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ AWAPONDA BARAZA LA SANAA LA TAIFA -BASATA
Diamond Platnumz amelishukia Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA kuwa linaurudisha nyuma muziki wa Tanzania kutokana na kutoruhusu kuanzishwa kwa tuzo zingine za muziki nchini tofauti na Kilimanjaro Music...
View ArticleVIDEO: MWANAMKE ANASWA AKIVUNJA AMRI YA SITA VICHAKANI HUKU AKIWA NA MTOTO...
<!-- adsense --> Mwanamke mmoja amenaswa akifanya uchafu porini huku akiwa na mtoto mchanga mgononi... Tukio hilo la kusikitisha liliwanasa wawili hao wakiridhishana chini ya...
View ArticleOBAMA AAHIRISHA SAFARI YAKE YA KUTEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA TANZANIA
Rais Obama ambaye ameamua kukatiza ziara yake ya kitalii Tanzania kwa ajili ya kushughulikia kwanza matatizo ya wananchi wake. Magari ya kivita 56 ambayo yatatakiwa kumsindikiza Obama katika safari...
View ArticleWATU WAFURIKA KWENYE SHOW YA LADY JAYDEE NDANI YA NYUMBANI LOUNGE
<!-- adsense --> Hivi ndivyo hali ilivyo ndani ya Ukumbi huu wa Nyumbani Lounge,Namanga jijini Dar es Salaam ambapo leo hii kuna bonge moja la show la Mwanadada mkongwe kwenye tasnia ya muziki...
View ArticleMWANA FA AMEAMBULIA PATUPU.... HIZI NI PICHA NA VIDEO YA SHOW YAKE
Nilikua narudi mjini nikitokea Kigamboni kupumzisha akili. Sasa nikapita pale opposite na iFM kucheki kama Mwana FA kala shavu. FA katia huruma sana. Yaani mlangoni kulikuwa na wanafunzi wachache...
View ArticlePICHA ZA SHOW YA LADY JAYDEE NYUMBANI LOUNGE.... WATU WALIJAA MPAKA WAKAANZA...
Mwanadada Judith Mbibo aka Lady Jaydee usiku wa kuamkia Jumamosi ya June 15 amefanikiwa kuweka historia kwenye muziki wa Tanzania kwa kulijaza eneo zima la Nyumbani Lounge alipokuwa akifanya show yake...
View ArticleBABA AMKANA MTOTO KISA ANA NYWELE ZA KIARABU.....MAMA AKASIRIKA NA KUMTUPA,...
Binti mmoja aliyefahamika kwa jina la Khadija Idd anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro akidaiwa kumtupa barabarani mtoto wake mwenye umri wa miezi 6 baada ya mwanaume aliyezaa naye...
View ArticleVIDEO: MAJIBU YA CHADEMA KUHUSU KAULI YA MWIGULU NCHEMBA
Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Mafunzo wa CHADEMA, Benson Kigaila amesema Serikali ya CCM inapanga na kutekeleza mauaji ili kutengeneza propaganda dhidi ya CHADEMA.<!-- adsense -->
View ArticleWATU WATATU WAFARIKI DUNIA KWENYE MLIPUKO WA BOMU ULIOTOKEA KWENYE MKUTANO WA...
Uwanja wa Soweto ambapo Mkutano wa Chadema kufunga kampeni za kuwania Udiwani Kata ya Kaloleni Jijini Arusha ulikuwa unafanyika umegeuka kuwa uwanja wa vilio baada ya kinachodhaniwa kuwa bomu kulipuka...
View ArticleTID AAPA KUMTANDIKA OMMY DIMPOZ ...KOSA NI TUSI ALOMTUKANA NGWEA.....
Msanii T.I.D naye ameingilia kati tuhuma za Ommy Dimpoz kumtukana marehemu Albert “Ngwair” kwa kuahidi kumdunda popote atakapomuon.... Hiki ndicho alichosema msanii TID kwenye ukurasa wake...
View ArticleOMMY DIMPOZ AWAPIGIA MAGOTI WATANZANI AKIOMBA ASAMEHEWE KWA TUSI LAKE
Baada ya watanzania kumwandama Ommy Dimpoz kutokana na tusi alomtukana marehemu Ngwea, msanii huyo ameamua kuwapigia magoti watanzania na kuwasihi wamsamehe..... Hali hiyo...
View ArticleMLIPUKO WA BOMU WASABABISHA UCHAGUZI WA MADIWANI JIJINI ARUSHA USOGEZWE MBELE
Tume ya taifa ya Uchaguzi imesimamisha kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata nne jijini Arusha. Akizungumza kwa njia ya simu na Radio TBC FM,kutoka Zanzibari mwenyekiti huyo wa tume ya...
View ArticleDR. MARY NAGU ANUSURIKA KUCHOMWA MOTO NA WAFUASI WA CHADEMA
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu pamoja na Mbunge wa Babati Vijijini, Jitu Soni (CCM), wamenusurika kuchomwa moto na wafuasi wa Chadema usiku wa kuamkia jana....
View ArticleBETTY NA BOLT WANASWA TENA WAKIVUNJA AMRI YA SITA NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER
Mu Ethiopia Betty na mu Sierra Leon Bolt wameanikwa tena na camera za Jumba la big Brother wakivunja amri ya sita. Hii ni mara ya pili kwa washiriki hao kutenda tendo hilo la...
View ArticleHATIMAYE KIM KARDASHIAN AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE
NI siku ya furaha kwa Kanye West! Kim Kardashian amejifungua mtoto wa kike Jumamosi asubuhi katika hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center, Los Angeles, mtandao wa OMG umethibitisha.Inasemekana...
View ArticleVIDEO YA NATASHA WA MALAWI AKIPIGA PUNY*TO NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER
<!-- adsense --> Camera za jumba la big brother zimeendelea kuaanika mambo yanayoendelea ndani ya jumba hilo Mashiriki toka Malawi amekuwa ni mshiriki wa kwanza kuanikwa na...
View ArticleMKASA MZIMA KUHUSU KUPIGWA KWA MBUNGE NASSARI KATIKA KITUO CHA KURA MAKUYUNI
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari ameshambuliwa na vijana wa Chama cha Mapinduzi wakiongozwa na Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi, Mkoa wa Arusha aliyejulikana kwa jina la Kalanga na kulazimika...
View Article