<!-- adsense -->
Hivi
ndivyo hali ilivyo ndani ya Ukumbi huu wa Nyumbani Lounge,Namanga
jijini Dar es Salaam ambapo leo hii kuna bonge moja la show la Mwanadada
mkongwe kwenye tasnia ya muziki hapa nchini,Lady Jay Dee ambaye
anatimiza miaka 13 tangu alipoanza kazi yake ya muziki.katika show hii
wanamuziki mbali mbali wamepanda jukwaani akiwepo Mh. Mbunge wa Jimbo la
Mbeya Mjini
↧