WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary
Nagu pamoja na Mbunge wa Babati Vijijini, Jitu Soni (CCM), wamenusurika
kuchomwa moto na wafuasi wa Chadema usiku wa kuamkia jana.
Tukio hilo lilitokea usiku wa manane, baada ya wafuasi wa Chadema,
wakiongozwa na Mbunge wa chama hicho Jimbo la Karatu, Mchungaji Israel
Natse, kuvamia nyumba waliyokuwa wamefikia Nagu na
↧