Tume ya taifa ya Uchaguzi imesimamisha kufanyika kwa uchaguzi mdogo wa
udiwani katika kata nne jijini Arusha.
Akizungumza kwa njia ya simu na
Radio TBC FM,kutoka Zanzibari mwenyekiti huyo wa tume ya uchaguzi
alisema kuwa wameamua kusimamisha uchaguzi huo ili kuwapa nafasi vyombo
vya usalama kuchunguza swala hilo.
Alisema kuwa sheria inawapa mamlaka kufanya hivyo pale wanapogundua kuwa
↧