NI
siku ya furaha kwa Kanye West! Kim Kardashian amejifungua mtoto wa kike
Jumamosi asubuhi katika hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center, Los
Angeles, mtandao wa OMG umethibitisha.Inasemekana Kardashian,
32, alikuwa na West pembeni mwake wakati wa kujifungua, kumkaribisha
duniani binti yao mwezi mmoja kabla ya muda uliotarajiwa. Tarehe halisi
ya kujifungua ilitazamiwa kuwa Julai 11."
↧