Diamond
Platnumz amelishukia Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA kuwa linaurudisha
nyuma muziki wa Tanzania kutokana na kutoruhusu kuanzishwa kwa tuzo
zingine za muziki nchini tofauti na Kilimanjaro Music Awards...
Akiongea
kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM leo, Diamond amesema hatua hiyo
inamfanya ahisi kuna kitu kimejificha ndani ya baraza hilo.“Kwanini
Tanzania tuna tuzo moja,
↧