KWELI asiye na adabu hakosi sababu ya kuharibu, mwenye mdomo mchafu
ni ada yake kutoa neno chafu, mwanamuziki chipukizi, Omar Faraji Nyembo
‘Ommy Dimpoz’, amedhihirisha kuwa ana kiwango cha juu sana cha dharau
kwa kumdhihaki na kumtusi mtu aliyetangulia mbele za haki.
Omar Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’.
Utamaduni wetu Tanzania na kama ilivyo kwa mafundisho ya dini kupitia
vitabu vinne
↧