"GREEN GUARD" WATUHUMIWA KUWAJERUHI VIONGOZI WA CHADEMA HUKO MOROGORO
Taarifa ambazo zimepatikana kwenye mitandao jamii zinaelezwa kuwa, jana usiku katika kata ya Minepa jimbo la Ulanga Magharibi, vijana waliosadikiwa kuwa wa “green guard” waliwavamia viongozi wa CHADEMA...
View ArticleKIJANA MMOJA AKUTWA AMEKUFA KATIKA NYUMBA INAYOJENGWA, KIGOGO, DAR
Mwili ukiwa eneo la tukio. Ukiwa umefunikwa. Mashuhuda wa tukio hilo. Kijana mmoja aliyefahamika wa kwa jina la Kobero, leo asubuhi amekutwa akiwa amekufa kwenye chumba kimoja cha...
View ArticleCHADEMA NA CCM WAKATANA MAPANGA MKOANI IRINGA
MWENYEKITI wa Baraza la Wazee wilayani Kilolo, Lunyiliko Nyaulingo amelazwa katika Hospitali ya mkoa Iringa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mgololo amelazwa Hospitali ya wilaya ya Mufindi baada ya kujeruhiwa...
View ArticleUKWELI WA MAMBO KUHUSU MAMA ALIYEAMUA KUISHI JUU YA PAA LA NYUMBA HUKO MBEZI...
WIKI iliyopita kuliibuka sakata zito lililochukua nafasi kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, lililomuhusisha mama mmoja aliyejulikana kwa jina la Hezelina Mrema mkazi wa Mbezi Beach, eneo...
View ArticleMAJINA YA WASHINDI WA TUZO ZA FILAMU ZA STEPS ENTERTAINMENT HAYA HAPA
Yafuatayo ni majina ya washindi wa tuzo za filamu kwa mwaka 2012/13 toka kampuni ya steps entertainment zilizofanyika juzi usiku kwenye ukumbi wa hoteli ya blue Pearl iliyopo ubungo jijini Dar es...
View ArticleMAPENZI YA JINSIA MOJA YAOTA MIZIZI MKOANI MOROGORO....MAAMBUKIZI YA UKIMWI...
HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro inakabiliwa na changamoto ya kukua kwa maambukizi ya Ukimwi, baada ya kushamiri kwa biashara ya mapenzi ya jinsia moja. Akizungumza na waandishi wa habari mjini...
View ArticleMWANAMKE AVUA NGUO NA KUCHEZA UCHI BAADA YA KUZIDISHA POMBE HUKO MBAGALA ZAKHEIM
DADA mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulukana mara moja aliuacha hoi umati wa watu waliokuwa kwenye baa moja hivi (jina kapuni) huko mbagala Zakheim mara baada ya kuvua nguo zote na kubaki uchi wa...
View ArticleWABUNGE WA CHADEMA WAGOMA KUINGIA BUNGENI KUFUATIA BOMU LA ARUSHA...IGP ATOA...
Wakati Jeshi la Polisi nchini limesema limepata taarifa za mwonekano wa mtu aliyetupa bomu katika mkutano wa kampeni wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Arusha, Mwenyekiti wa chama hicho...
View ArticleVIDEO: MWANAMKE ABAKWA NA KUZIKWA AKIWA MZIMA...POLISI WAMFUKUA NA KUKUTA...
<!-- adsense --> Matukio ya kikatili yameendelea kutikisa nchini Nigeria baada ya mwanamke mmoja kubakwa na kuzikwa akiwa mzima.... Taarifa toka katika mitandao ya kinigeria zinadai...
View ArticleDR. NCHIMBI AWAFARIJI WAHANGA WA BOMU NA KUTEMBELEA SEHEMU ILIYOLIPULIWA BOMU
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Emmanuel Nchimbi akiwa katika viwanja vya Soweto Arusha palipotokea mlipuko wa bomu wakati wa kufunga kampeni za kuwania udiwani wa kata za jijini arusha za chama...
View Article"MLIPUKO WA BOMU LA ARUSHA ULIPANGWA NA CHADEMA WENYEWE".....NAPE NNAUYE
Itakumbukwa tarehe 16/06/2013 ilikuwa ni siku ya uchaguzi mdogo wa madiwani kwa baadhi ya kata nchini. Uchaguzi huo umefanyika kwenye kata ishirini na mbili (22) -kati ya kata ishirini na sita (26)...
View ArticleMAKAHABA WANAOJIUZA SINZA WATIWA MBARONI NA MGAMBO WA JIJI
Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata akinadada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao maarufu kama Machangudoa katika eneo la Sinza. Picha hizi ( juu) zinaonesha namna...
View ArticleVIDEO YA MLIPUKO WA BOMU LA TAREHE 15 HUKO ARUSHA
Hii ni video fupi ambayo nimepata katika mtandao wa youtube ikionesha jinsi bomu hilo lilivyolipuka na wananchi kutawanyika<!-- adsense -->
View ArticleVIDEO MBILI ZA MAZISHI YA MSANII LANGA KILEO
Hizi ni video zinazoonesha shughuli nzima ya kuuaga mwili wa Langa Kileo na baadaye kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar Wakati wa kuuaga mwili <!-- adsense -->
View ArticleVIDEO YA NAPE NNAYE AKIWAVAA CHADEMA NA KUDAI KUWA WANAHUSIKA NA MLIPUKO WA BOMU
Wakati jeshi la polisi na vyombo mbalimbali vya usalama vikihaha kumtafuta mtu aliyerusha bomu katika mkutano wa kampeni huko Arusha chama cha mapinduzi CCM kimetoa tamko kuhusiana na tukio hilo na...
View ArticleMSHIRIKI WA TANZANIA ( FEZA KESSY ) AKIMUOGESHA MSHIRIKI WA ZIMBABWE (...
<!-- adsense --> Video hizi hutolewa na big borther wenyewe kwa jamii kama sehemu ya shindano hilo.... Wahiriki wote wa big brother wanajua ya kwamba jumba hilo limezingirwa na kamera kila...
View ArticleKAULI YA SERIKALI KUHUSU KITITA CHA MILIONI 100 KWA MTU ATAKAYEMTAJA MTU...
Zifuatazo ni nukuu za maneno yaliyotolewa na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, sera, uratibu na bunge William Lukuvi kuhusu hilo bomu ambalo lililipuliwa kwenye mkutano cha Chadema Arusha. “Mtu...
View ArticleCATHY WA BONGO MOVIE ALIA NA USHIRIKINA ULIPO NDANI YA TASNIA HIYO....AWATAKA...
Mwigizaji wa Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ naye amenyanyua kinywa chake na kuonesha jinsi gani anakerwa na wasanii wanaoshinda kwa waganga ili kutafuta ustaa. Akiongea na mwandishi wetu hivi karibuni,...
View ArticleBAADA YA NAPE KUITUHUMU CHADEMA, MBOWE NAYE AFUNGUKA NA KUDAI KUWA BOMU...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefichua siri kuhusu tukio la mlipuko wa bomu lililotokea jusi katika viwanja vya Soweto, jijini Arusha.Katika kauli yake jana,...
View Article