MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe
amefichua siri kuhusu tukio la mlipuko wa bomu lililotokea jusi katika
viwanja vya Soweto, jijini Arusha.Katika kauli yake jana, Mbowe
ameibua tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi, ambapo alidai kuwa askari
wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) ndiye aliyerusha bomu hilo.Akizungumza
na waandishi wa habari mjini hapa,
↧