ALIYEKUWA
Meneja wa Kampuni ya Malawi Cargo tawi la Mbeya Evason Mwale(49) raia
wa nchi jirani ya Malawi, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mbeya
akituhumiwa kujihusisha na Rushwa ya Ngono.
Mwendesha
mashtaka wa Serikali Basilius Namkambe akisoma Mashtaka ya mtuhumiwa
huyo mbele ya Hakimu mkazi wa mahakama hiyo Gilbert Ndeuluo alisema
Mtuhumiwa anashtakiwa kwa makosa mawili
↧