KESI YA MENEJA WA MALAWI CARGO ANAYETUHUMIWA KUOMBA RUSHWA YA NGONO KWA...
ALIYEKUWA Meneja wa Kampuni ya Malawi Cargo tawi la Mbeya Evason Mwale(49) raia wa nchi jirani ya Malawi, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mbeya akituhumiwa kujihusisha na Rushwa ya Ngono....
View ArticleMSHIRIKI WA KIUME TANZANIA ( NANDO ) YUKO HATARINI KUONDOLEWA BIG...
Ni wiki tatu zimepita tukishuhudia Eviction shows tatu zilizowapa tiketi za kurudi makwao washiriki 6 mpaka sasa, na tumeshuhudia mshiriki wetu Feza Kessy akiponea kwenye tundu la sindano baada ya kura...
View ArticleVIDEO YA MAHOJIANO YA MTANZANIA ALIYEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA EGYPT
<!-- adsense --> Kwa zaidi ya wiki moja iliyopita habari zilisambaa kwamba binti Mtanzania aliekamatwa na dawa za kulevya nchini Misri angenyongwa siku za karibuni kutokana na hizo dawa...
View ArticleMOTO MKALI WATIKISA MAENEO YA KARIAKOO JIJINI DAR
Hali ikiwa tete. Moto ukiunguza paa la baa hiyo. Shock ya umeme ikitokea karibu na jengo hilo. Watu waliojaa kushuhudia tukio hilo. Moto mkubwa umezuka jijini Dar es Salaam karibu kabisa na Soko Kuu...
View ArticleMBUNGE ATAKA KISWAHILI KITUMIKA HADI VYUO VIKUU
MBUNGE wa Karagwe, Gosbert Blandes (CCM), amehoji lini serikali itapitisha Kiswahili kitumike kuanzia Shule za Msingi hadi Vyuo Vikuu. Aidha, alisema mwaka 2004, Umoja wa Afrika ulipitisha Kiswahili...
View ArticleBREAKING NEWS: ARUSHA KWACHAFUKA TENA.....MABOMU YA MACHOZI YATUMIKA...
Hali kutoka mkoani si nzuri...mabomu ya machozi yanapigwa kuwatawanya wananchi waliojitokeza kuiaga miili ya wananchi waliofariki katika mlipuko wa bomu... Hivi sasa polisi wanapiga mabomu ya...
View ArticleSABABU ZA JESHI LA POLISI KUTUMIA NGUVU YA MABOMU JIJINI ARUSHA MUDA HUU
Jeshi la polisi limekipiga marufuku chama cha demokrasia na maendelo(CHADEMA)kufanya shughuli zozote za kuaga miili ya marehemu kwenye viwanja vya Soweto kwani zoezi la uchunguzi bado linaendelea...
View ArticleJESHI LA POLISI LINAWASHIKILIA WABUNGE 4 WA CHADEMA KWA KUSABABISHA VURUGU...
Jeshi la polisi mkoani Arusha linawashikilia viongozi wanne wa CHADEMA na watu wengine huku likiendelea kuwatafuta wabunge wawili na watu wengine.Jeshi la Polisi limesema limewatua nguvuni watu hao kwa...
View ArticleNAPE , GODBLESS LEMA NA MBOWE WATAKIWA KUPELEKA ASHAHIDI WAO POLISI,...
Jeshi la Polisi limetishia kuwakamata Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na limesema litamhoji Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye baada ya wanasiasa hao kudai...
View ArticleVURUGU ZA ARUSHA: CHADEMA YAGOMA KUTOA USHAHIDI POLISI, LEMA AJIFICHA KWA...
Wabunge wanne wa Chadema, Said Arfi (Mpanda Mjini), Tundu Lissu (Singida Mashariki), Mustapha Akunaay (Mbulu) na Joyce Mukya (Viti Maalumu) wamekamatwa wakituhumiwa kuhusika na mkusanyiko usio halali...
View ArticleLUNDENGA AMTIMUA MREMBO JUKWAANI BAADA YA KUTINGA NA KIVAZI CHA NUSU UCHI....
MWENYEKITI wa Kamati ya Mashindano ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga Jumamosi iliyopita alimtimua mshiriki wa shindano la Redd’s Miss Morogoro 2013, Saphina Chumba (20) jukwaani wakati shindano hilo...
View ArticleKAHABA APEWA KICHAPO KIKALI BAADA YA KUNASWA AKIJUZA JIRANI NA MSIKITI
Kahaba mmoja alijikuta akiambulia kichapo kikali toka kwa vijana wa kiislamu baada ya kunaswa akijiuza karibu na msikiti wao..... Tukio hilo lilishuhudiwa na wanahabari wetu majira ya usiku jirani...
View ArticleSAUTI YA SAIDA KAROLI AKITHIBITISHA KUWA NI MZIMA NA HAJAFA KAMA WATU...
<!-- adsense --> Mwanamuziki mkongwe wa nyimbo za asili nchini Saida Karoli, amezikanusha tetesi zilizoanza kuenea tangu jana kuwa amefariki kwenye ajali ya boti katika ziwa Victoria. Akiongea...
View ArticleVIDEO NYINGINE YA VURUGU ZA ARUSHA IKIONESHA JINSI WATU WALIVYOPOTEZA MAISHA
VIDEO NYINGINE YA VURUGU ZA ARUSHA IKIONESHA JINSI WATU WALIVYOPOTEZA MAISHA <!-- adsense -->
View ArticleSERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR YATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MKUU WA MKA WA...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetuma salamu za rambi mbali kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Magesa Muhongo kutokana na vifo vya wananchi watatu wa Mkoa huo vilivyotokea kufuatia mripuko wa bomu...
View ArticleJOHN MNYINKA ADAI KUWA KESHO WATAWASHA MOTO TENA JIJINI ARUSHA
WAKATI Jeshi la Polisi Mkoani Arusha ikiendelea kumsaka Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema,Mbunge wa Ubungo John Mnyika kesho atawasha moto mwingine wa...
View ArticleIDD SIMBA NA WENZAKE WAACHIWA HURU KATIKA KESI YA KUHUJUMU UCHUMI
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo hii imemwachiria huru Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Idd Simba pamoja na Mkurugenzi wa Bodi hiyo ambaye alikuwa Diwani...
View ArticleVIONGOZI WA CHADEMA NA WANANCHI WA ARUSHA WAMEACHIWA KWA DHAMANA.....POLISI...
Jeshi la polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa Chadema na wananchi wote waliokuwa wanashikiliwa na limemtaka mwenyekiti wa Chadema Mh. Freeman Mbowe kuwasilisha ushahidi wa mtu aliyelipua...
View Article"NASSARI NI MUONGO NA NI MNAFIKI, TUMEMRUHUSU KWA AMANI NA BADALA YAKE KADAI...
UONGOZI wa hospitali ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ya Selian jijini Arusha umekanusha vikali taarifa zilizotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chadema John Mnyika kuwa serikali...
View Article"TUKIO LA ARUSHA LIMENIFANYA NIAMINI KUWA TANZANIA KUNA WANARIADHA...
Tukio la bomu la Arusha limewasitua wengi kufuatia vifo vya wananchi wanne wasio na hatia.... Nasema hawana hatia kwa sababu siku ya tukio wananchi hao walikuwa katika mkutano wa...
View Article