Jeshi la polisi mkoani Arusha linawashikilia viongozi wanne wa CHADEMA
na watu wengine huku likiendelea kuwatafuta wabunge wawili na watu
wengine.Jeshi la Polisi limesema limewatua nguvuni watu hao kwa
makosa ya kuhutubia mkutano haramu wakati wa kuwaaga marehemu
waliopoteza maisha kwenye mlipuko wa bomu uliotokea katika eneo la
Soweto jijini humo mwishoni mwa wiki.Makosa mengine ni
↧