Kahaba mmoja alijikuta akiambulia kichapo kikali toka kwa vijana wa kiislamu baada ya kunaswa akijiuza karibu na msikiti wao.....
Tukio hilo lilishuhudiwa na wanahabari wetu majira ya usiku jirani na
msikiti huo uliopo nyuma ya Corner Bar, Kijitonyama jijini Dar ambapo
mwanamke huyo na wenzake walikamatwa na baadhi ya vijana waumini wa
Kiislamu waliokerwa na kitendo cha wao kutoa
↧