UONGOZI wa hospitali ya Kanisa la Kiinjili
la Kilutheri Tanzania (KKKT) ya Selian jijini Arusha umekanusha vikali
taarifa zilizotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chadema John
Mnyika kuwa serikali ilipeleka maafisa wa usalama hospitalini hapo kwa
lengo la kumdhuru mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari
pamoja na majeruhi wa mabomu waliolazwa katika hospitali hiyo na
↧