Tukio la bomu la Arusha limewasitua wengi kufuatia vifo vya wananchi wanne wasio na hatia....
Nasema hawana hatia kwa sababu siku ya tukio wananchi hao walikuwa katika mkutano wa hadhara wa chama chao ( CHADEMA ) sawa na ambavyo wangeweza kuwa katika mkutano mwingine wowote wa kisiasa....
Pamoja na majonzi waliyonayo wananchi, wanasiasa wetu
↧