MSANII
wa filamu nchini Jacqueline Wolper ameenda kujichimbia Afrika Kusini
akifanya mazoezi ili ajiweke katika nafasi ya kuzichapa na mbunge wa
CHADEMA Halima Mdee, katika tamasha la Matumaini litakalofanyika Julai 7
mwaka huu.
Wolper ambaye atapigana na Halima Mdee, alisema kuwa
amejikita nchini humo kwa ajili ya kujiweka sawa ili aweze kumkabiri
mbunge huyo.
Alisema mbali ya
↧