Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
imetuma salamu za rambi mbali kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Magesa
Muhongo kutokana na vifo vya wananchi watatu wa Mkoa huo vilivyotokea
kufuatia mripuko wa bomu uliotokea juzi katika viwanja vya Soweto Jijini
Arusha.
Watu
wasiopungua 70 waliripotiwa kujeruhiwa wakati wa mripuko huo kwenye
mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi katika Kata ya
↧