Mwili ukiwa eneo la tukio.
Ukiwa umefunikwa.
Mashuhuda wa tukio hilo.
Kijana
mmoja aliyefahamika wa kwa jina la Kobero, leo asubuhi amekutwa akiwa
amekufa kwenye chumba kimoja cha nyumba ambayo ilikuwa haijamalizika
kujengwa maeneo ya Kigogo Luhanga jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa
mashuhuda wa tukio hilo, marehemu alikutwa na chupa iliyokuwa na
↧