Itakumbukwa tarehe 16/06/2013 ilikuwa ni siku ya uchaguzi mdogo wa
madiwani kwa baadhi ya kata nchini. Uchaguzi huo umefanyika kwenye kata
ishirini na mbili (22) -kati ya kata ishirini na sita (26)
zilizotangazwa kufanya uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi wazi.
Matokeo tuliyoyapata toka kwenye maeneo yaliyofanya uchaguzi yanaonyesha
kuwa kati ya kata 22 zilizofanya uchaguzi CCM tumeshinda
↧