HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro inakabiliwa na changamoto ya kukua
kwa maambukizi ya Ukimwi, baada ya kushamiri kwa biashara ya mapenzi ya
jinsia moja.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa, Naibu Meya
Manispaa ya Morogoro, Lidya Mbiaji, alisema kuwa kumekuwa na tatizo
kubwa la kushamiri kwa vichocheo vya ngono, hali inayochangia kukua kwa
kiwango cha maambukizi ya
↧