Yafuatayo
ni majina ya washindi wa tuzo za filamu kwa mwaka 2012/13 toka kampuni
ya steps entertainment zilizofanyika juzi usiku kwenye ukumbi wa
hoteli ya blue Pearl iliyopo ubungo jijini Dar es Salaam.Katika tuzo hizi Merehemu steven Kanumba aling'ara kwa kupata tuzo nyingi kuliko waigizaji wote kwa kupata tuzo tatu.Mwigizaji bora wa kiume ni JB kupitia filamu ya ‘Nakwenda kwa
↧