<!-- adsense -->
Video hizi hutolewa na big borther wenyewe kwa jamii kama sehemu ya shindano hilo....
Wahiriki wote wa big brother wanajua ya kwamba jumba hilo limezingirwa na kamera kila kona.Kwa hiyo, kama mtu ataamua kufanya ufuska au kukaa uchi basi ajue kamera zitamrekodi na kumwanika hadharani....
Masharti hayo hujuzwa mapema kabla ya kuanza kwa shindano hilo...
Hakeem
↧