Wakati
Jeshi la Polisi nchini limesema limepata taarifa za mwonekano wa mtu
aliyetupa bomu katika mkutano wa kampeni wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema) Arusha, Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe
amesema wabunge wake leo hawataingia bungeni.
Akizungumza
na waandishi wa habari jana, Mbowe alisema wabunge hao watawasili
Arusha kwa ajili ya kuungana na wananchi pamoja
↧