$ 0 0 Mkurugenzi wa Oganaizesheni na Mafunzo wa CHADEMA, Benson Kigaila amesema Serikali ya CCM inapanga na kutekeleza mauaji ili kutengeneza propaganda dhidi ya CHADEMA.<!-- adsense -->