MSANII wa muziki wa
kizazi kipya nchini Tanzania Mwana FA anafikiria kuahirisha shoo yake
ya kesho kufuatia kifo cha msanii mwenzake wa kizazi kipya Langa Kileo,
kilichotokea leo jijini Dar es Salaam.
Mwana
FA anafikiria kuahirisha shoo yake ya kesho iliyopangwa kufanyika
katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam na tayari
ameanza kuwasiliana na meneja wake kwa
↧