Huyu
mama alikaa juu ya paa kwa siku tano tangu jumamosi kupinga nyumba yao
kuchukuliwa na bank.Anasema mumewe alimdhamini mtu ambaye alichukua mkopo
bank miaka mingi iliyopita na kushindwa kulipa mkopo huo.
Kwa mujibu wa maelezo yake , kesi yao bado ipo mahakamani kwani tayari yule mdaiwa kuna mali zake zilizotaifishwa.
Mdaiwa
alikopa ml 240, wameuza nyumba zake 2 na mabasi
↧