Ile the Big Square 1, show za magwiji wa muziki Tanzania
mwana FA ‘The Finest’ na Lady Jay Dee ‘Miaka 13 ya Lady Jay Dee’ zitapigwa
kesho June 14, huku presha ikiwa inaongezeka hasa kwa fans wanaotamani
kuhudhuria show walioichagua na kuona ukubwa wa show kama walivyotarajia.
Show hizi kubwa zina nguvu sana kutokana na ukubwa wa majina
ya wasanii husika. Kwa mujibu wa lady Jay Dee
↧