Ratiba
ya mazishi ya ndugu yetu Langa Kileo itakuwa kama ifuatavyo, msiba upo
nyumbani kwa wazazi wa Langa maeneo ya Mikocheni nyuma ya Hospitali ya
AAR zamani kulikuwa na ofisi za Benchmark Production.
Mwili wa marehemu
utaagwa siku ya Jumatatu majira ya saa 7 mchana na baada ya hapo mwili
utaelekea makaburi ya Kinondoni kwa mazishi majira ya saa kumi alasiri.
<!-- adsense -->
↧